Antioko wa Lyon (alifariki 410 hivi) alikuwa askofu mkuu wa 16 wa mji huo, leo nchini Ufaransa [1][2] kuanzia mwaka 400 hivi.

Alipokuwa padri, alimfuata[3] askofu wake Yusto wa Lyon hadi [4] jangwani kwa wamonaki wa Misri[5][6][7] ili kumuomba arudi jimboni[8].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[9][10].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Agosti[11] au 15 Oktoba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Guillaume Paradin , Memoires De L'Histoire De Lyon (By Antoine Gryphius, 1573) p61
  2. Étienne Joseph Poullin de Lumina (1770). [[[:Kigezo:Google books]] Histoire de l'église de Lyon [Church history of Lyon]] (in French). Joseph-Louis Berthoud. p. 56. 
  3. Guillaume Paradin, Memoires De L'Histoire De Lyon (By Antoine Gryphius, 1573) p61
  4. Monks of Ramsgate. “Justus of Lyons”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 2 September 2016
  5. “Saint Justus of Lyons“. CatholicSaints.Info. 2 September 2017
  6. Rivard, Eugene Louis. "Clerics of Saint Viator." The Catholic Encyclopedia Vol. 15. New York: Robert Appleton Company, 1912. 17 April 2015
  7. http://www.santiebeati.it/dettaglio/68660
  8. Monks of Ramsgate. “Antiochus”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 22 July 2012
  9. Bishop of Lyon (5th c.).
  10. [[[:Kigezo:Google books]] Vies des Saints du diocèse de Lyon [Lives of the Saints of the Diocese of Lyon]]. 1835. p. 85. 
  11. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.