Jangwa la Uarabuni
(Elekezwa kutoka Arabian Desert)
Jangwa la Uarabuni (kwa Kiarabu: لصَّحْرَاء ٱلْعَرَبِيَّة) ni jangwa lililoko huko Asia Magharibi. Linafunika sehemu kubwa ya Bara Arabu.
Eneo lake ni km2 2,330,000 zinazopatikana katika nchi za Saudia, Yemen, Oman, Falme za Kiarabu, Katar, Kuwait, Jordan, Iraq hadi Misri (rasi ya Sinai).
Wakazi wake wa asili ni Waarabu ila siku hizi kuna wahamiaji wengi sana.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jangwa la Uarabuni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |