Ariana mfiadini

Ariana mfiadini (alifariki Primnesso, mkoa wa Frigia, leo Seulun, nchini Uturuki, 130 hivi) alikuwa msichana mtumwa Mkristo wa Dola la Roma[1].

Mchoro mdogo kuhusu Mt. Ariana.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Septemba.[2]

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/70500
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.