Arthur Schawlow
'
Arthur Schawlow | |
---|---|
Amezaliwa | 5 Mei 1921 |
Amefariki | 28 Aprili 1999 |
Kazi yake | mwanafizikia |
Arthur Leonard Schawlow (5 Mei 1921 – 28 Aprili 1999) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani.
Kama mtoto na kijana aliishi na kusoma nchini Kanada kabla hajarudi Marekani. Hasa alichunguza mnururisho na kubuni leza alipofanya kazi pamoja na Charles Townes. Mwaka wa 1981, pamoja na Nicolaas Bloembergen na Kai Siegbahn alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Arthur L. Schawlow". IEEE Global History Network. IEEE. Iliwekwa mnamo 10 Agosti 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Hänsch, Theodor W. (Desemba 1999). "Obituary: Arthur Leonard Schawlow". Physics Today. 52 (12): 75–76. Bibcode:1999PhT....52l..75H. doi:10.1063/1.2802854.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arthur Schawlow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |