Artsakh
Artsakh ni nchi isiyotambuliwa na mataifa mengine [1] kama nchi huru kwenye milima ya Kaukazi kusini.

Nagorno-Karabakh 2020.
Mwaka 2020 vita vilizuka tena na kumalizika kwa Azerbaijan kutwaa sehemu kubwa ya eneo hilo la kwake kisheria. Kabla ya vita hivyo, eneo lake lilikuwa la km² 11,458, lililokaliwa na wakazi 150,000 hivi, wengi wao wakiwa Waarmenia.
Mji mkuu ni Stepanakert.
TanbihiEdit
- ↑ isipokuwa matatu ambayo pia hayatambuliki kimataifa.