Asidini na wenzake

Asidini na wenzake Pegasi, Aftoni, Elpidiforo, Anempodisto na wengine wengi (walifariki Isfahan, Uajemi, 345 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya mfalme Sapur II [1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Novemba.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.