Atenogene (alifariki Sebaste katika Armenia Ndogo, leo Sivas, Uturuki, 303 hivi) alikuwa korepiskopo ambaye aliwaachia wanafunzi wake utenzi juu ya Umungu wa Roho Mtakatifu akachomwa moto katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Ndiyo sababu anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Julai[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.