Atilano (Tarazona, 850 - Zamora, 5 Oktoba 919 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa Zamora, nchini Hispania, kuanzia mwaka 901 hadi 917.

Picha yake.

Kabla ya hapo alikuwa mkaapweke na mmisionari pamoja na Froilano[1].

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Oktoba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.