Froilano
Froilano (Lugo, 832 - Leon, 905 hivi) alikuwa askofu wa Leon, nchini Hispania, kuanzia mwaka 900.
Kabla ya hapo alikuwa mkaapweke, halafu mmisionari na mwanzilishi wa monasteri za kiume na za kike[1].
Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |