Audomari (pia: Omer; Coutances, Neustria, leo nchini Ufaransa, 600 hivi[1] - Therouanne, leo nchini Ufaransa, 670 hivi) alikuwa mmonaki mwanafunzi wa Eustasi wa Luxeuil[2], halafu askofu wa Kanisa Katoliki huko Therouanne kuanzia mwaka 637 hivi[3], akijitahidi kurudisha Wakristo kutoka Upagani mamboleo akisaidiwa na Momelini, Ebertramu na Bertino wa Sithieu.</ref> [4].

Sanamu ya Mt. Audomari.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Novemba[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.