Augustino Zhao Rong

Augustino Zhao Rong (Wuchuan, 1746 hivi - Chengdu 21 Machi 1815) alikuwa padri wa China aliyefia imani ya Ukristo nchini mwake.

Kabla ya kuongokea dini hiyo alikuwa askari.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 1 Oktoba 2000 pamoja na wengine 119.

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 9 Julai.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Augustino Zhao Rong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.