Aventino wa Troyes

Aventino wa Troyes (alifariki Troyes, leo nchini Ufaransa, 4 Februari 538) alikuwa padri halafu abati baada ya kufanya kazi kubwa ya kukomboa watumwa[1]. Anasemekana alikuwa chini ya Lupo wa Troyes.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.