Lupo wa Troyes
Lupo wa Troyes (pia: Loup, Leu; Toul, leo nchini Ufaransa, 383 hivi - Troyes, leo nchini Ufaransa, 479 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 426, baada ya kuishi miaka 6 katika ndoa halafu katika monasteri ya Lerins[1].
Alipambana na uzushi wa Upelaji.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/91806
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje hariri
- Lupus of Troyes
- Index of Saints website with thousands of saints, and sources. (an archived, earlier version of "Saint of the Day" at www.saintpatrickdc.org)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |