Babylas Boton

MuMwandishi wa habari wa Kiafrika na mtangazaji wa siasaandishi wa habari


Babylas Boton ni mwandishi wa habari mwenye asili ya kiafrika anayewasilisha habari za kisasa kwenye kituo cha runinga cha Africa 24 [1] moja ya vituo vikubwa vya habari katika ukanda wa Afrika ya Kati na Afrika ya Magharibi, akijulikana kama mwandishi bora wa habari kwa mwaka 2017 [2]. Mara nyingi amekuwa akifanya mahojiano na watu mbalimbali wanaojihusisha na siasa, vipindi hivyo vinafanyika kwa ushirikiano na muandishi Sidya Toure wa Guinea pia Jean-Louis Billon wa Côte d'Ivoire na Isabelle Ameganvi wa Togo.[3][4][5] Lugha yake ya asili ni Kifaransa.

Babylas Boton
Nchi Afrika
Kazi yake mwandishi wa habari
Kipindi 2014 - 2017






Wasifu

hariri

Boton amefanya kazi ya uandishi wa habari kwa muda wa miaka 20 na kuwa na alama katika taaluma hiyo ya uandishi ,amekuwa ni mtangazaji maarufu akifanya mijadala mikubwa mikubwa.

Boton kapitia safari ndefu ya uandishi, na kupanda vyeo Mbalimbali kama mhariri mkuu hadi kuja kuwa mkurugenzi wa kipindi chake cha Talk show [6] kimemletea umaarufu sehemu mbalimbali na kumsababishia kupata tuzo mbalimbali kama Best Jopurnalist of Afrika mwaka 2017 pamoja na kuchaguliwa kushiriki tuzo mbalimbali. Baada ya kuhitimu masomo yake ya Lugha alianzisha gazeti maarufu la Le Matinal.[7] ,Mwaka 2002 alijiunga na masomo ya juu ya uandishi wa habari.

Ujuzi wake na maarifa yake katika taaluma ya uandishi wa habari vilisababisha kuitwa kufundisha katika chuo kikuu cha Senghor University kilichopo nchini Misri.

Marejeo

hariri
  1. "Gabon: Une équipe d'Africa24 découvre l'agence de presse GABONEWS". Allaafrica. Iliwekwa mnamo Novemba 8, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-11. Iliwekwa mnamo 2021-05-29. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  3. "Ufrguinee.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-11-30. Iliwekwa mnamo 2010-11-08. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  4. Daily Motion
  5. "Music Tootogo". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-11-08. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  6. https://www.africa24tv.com/fr/emission/le-talk Archived 6 Machi 2020 at the Wayback Machine. talk
  7. "Quotidien Le Matinal – Le défi d'une génération" (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-18. Iliwekwa mnamo 2019-07-11. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Babylas Boton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.