Barbara wa Nikomedia

Barbara (kwa Kigiriki: Βαρβάρα) alikuwa mwanamke Mkristo wa Ugiriki wa Kale[1][2] anayesemekana kuwa alikatwa kichwa na baba yake kwa sababu ya imani yake[3].

Mt. Barbara alivyochorwa mwaka 1447, National Museum in Warsaw, Poland.

Anaheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo kama mtakatifu bikira mfiadini[4].

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 4 Desemba[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Signs and Symbols in Christian Art, Oxford University Press, G. Ferguson, 1959, p. 107.
  2. Ulysses Annotated: Notes for James Joyce's Ulysses, D. Gifford, Robert J. Seidman, University of California Press, 2008, ISBN 0520253973, p. 527.
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/80400
  4. Harry F. Williams, "Old French Lives of Saint Barbara" Proceedings of the American Philosophical Society 119.2 (16 April 1975:156–185), with extensive bibliography.
  5. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 2001 ISBN 978-88-209-7210-3), p. 621

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.