André Bavua Ntinu

bwana wa kiroho wa PSV
(Elekezwa kutoka Bavua Ntinu André)

André Bavua Ntinu (Mbanza-Ngungu, Mkoa wa Kongo Kati, wakati huo Kongo ya Kibelgiji, 22 Machi 1939 - mji huo huo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ya kisasa, 5 Oktoba 2013) alikuwa mtaalamu wa sanaa ya mapigano ya karate na mwanzilishi wa michezo ya Kijapani (karate na judo) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

André Bavua Ntinu

Alijulikana kama bwana mkubwa Bavua Ntinu, mwanzilishi wa Shule ya Kitaifa ya Sanaa ya Mapigano (Ecole Nationale des Arts Martiaux au ENAM). Pia alikuwa kiongozi mkuu wa NGO Puissance Spirituelle du Verbe (PSV) ambayo alikuwa mwanzilishi wake na kiongozi wa kwanza wa kiroho[1][2][3][4][5].

Tanbihi

hariri
  1. Martin Enyimo (2013-10-07). "Karaté : décès du grand Me Bavua Ntinu Decantor | adiac-congo.com : toute l'actualité du Bassin du Congo". www.adiac-congo.com (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2021-11-05.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  2. lephare (2010-06-01). "« Grand maître » Bavua a une solution pour l'Afrique noire". Journal Le Phare, Quotidien indépendant paraissant à Kinshasa (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-22. Iliwekwa mnamo 2021-11-05. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. Kabongo (2011-04-20). "Centrafrique: La puissance spirituelle du verbe dévoilée" (html). Africa Info (Douala) (kwa Kifaransa).
  4. "Un des précurseurs du Judo en RDC : Gd Me Mukuna fête ses 75 ans d'âge". 7sur7.cd (kwa Kifaransa). 2014-12-22. Iliwekwa mnamo 2021-11-06. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help)
  5. Jean-René Bompolonga (2002-01-30). "Un grand maître congolais recommande l'initiation des Noirs aux sciences occultes". Le Phare (kwa Kifaransa).{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu André Bavua Ntinu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.