Benedikto wa Masserac
Benedikto wa Masserac (kwa Kibretoni: Benead; kwa Kifaransa: Benoit; alifariki Bretagne, leo nchini Ufaransa, 845) alikuwa mkaapweke huko Masserac, karibu na Nantes [1].
Alikimbilia huko kutoka monasteri ya Patras, Ugiriki, alipokuwa abati[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |