Benilde wa Cordoba

Benilde wa Cordoba (alifariki Cordoba, Hispania, 15 Juni 853) alikuwa mwanamke mzee mjane aliyeuawa kwa kukatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kutokana na yeye kujitokeza kwa kadhi kukiri imani yake ya Kikristo[1].

Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba[2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Juni[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/57360
  2. Latin writings of Eulogius pdf downloads at documentacatholicaomnia.eu
  3. Complete Works of Eulogius of Cordoba English translations of Eulogius' writings.
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.