Benki ya Equity Tanzania Limited ni benki ya biashara nchini Tanzania, ambayo ni ya pili kiuchumi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Imesajiliwa na Benki ya Tanzania, Benki kuu na mdhibiti wa kitaifa wa benki nchini.[1][2]

Benki hiyo ni mwanachama wa Equity Group Holdings Limited, moja kati ya taasisi za biashara kubwa zaidi, iliyo na makao makuu yake Nairobi, Kenya, ikiwa na matawi Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Msumbiji, na Zambia.[3]

Hadi septemba 2014, Benki ya Equity Tanzania Limited imemiliki mali yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 143.42, na dola za kimarekani milioni 107.68 katika amana ya wateja na kitabu cha mkopo dola za kimarekani milioni 87.1. BBT ni mtoaji mkubwa wa huduma za kibiashara Tanzania, kutumikia mashirika makubwa, biashara ndogo hadi za kati, na watu binafsi. Kuanzia Machi 2013 mali yake yote ilikuwa na thamani ya karibia $ 382,000,000 (TZS: bilioni 634.34). [4] Kuanzia Disemba 2013, benki hii ilikuwa na wateja 87,000.[5]

Marejeo hariri

  1. Bank of Tanzania (2019). Directory of Commercial Banks Operating In Tanzania. B (BOT). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 2019-12-14.
  2. Bank of Tanzania (20 February 2012). Bank of Tanzania Issues Commercial Banking License To Equity Bank Tanzania Limited (PDF). Bank of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-09-23. Iliwekwa mnamo 2019-12-14.
  3. Victor Juma (5 July 2019). Equity deal adds 2,641 new staff to payroll.
  4. Corporate Digest, . (18 May 2013). Barclays Bank Tanzania Manages To Cut Expenses. Corporate-Digest.Com. Iliwekwa mnamo 9 November 2014.
  5. Ndzamela, Phakamisa (9 June 2014). Barclays To Keep Two Tanzanian Banks. Iliwekwa mnamo 9 November 2014.
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Equity kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.