Bernardo wa Rodez
Bernardo wa Rodez (Rodez, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 940 hivi - Montsalvy, 1110) alikuwa abati wa Wakanoni Waregulari wa monasteri ya Montsalvy kwa zaidi ya miaka 30 baada ya mwalimu wake Gosbati [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |