Berry Bickle

Mwandishi wa Zimbabwe

Berry Bickle (alizaliwa Bulawayo, 1959) ni msanii wa Zimbabwe anayeishi Maputo, Msumbiji.

Berry Bickle
Amezaliwa [1959
Maputo
Nchi Zimbabwe
Kazi yake Msanii

Maisha

hariri

Bickle alisoma Chisipite Senior School iliyopo Harare. Baadaye, alisoma kwenye chuo Durban Institute of Technology, ambapo alipata stashahada katika sanaa ya uchoraji.[1] na katika chuo kikuu cha Rhodes kilichopo Afrika Kusini alipata shahada ya uzamili katika sanaa[1][2] Bickle ni mmoja wa waanzilishi wa Bulawayo's Visual Artists' Association.[3]

Aligawa muda wake kati ya Zimbabwe na Msumbiji, kazi yake ilichunguza historia ya ukoloni.[4] Mnamo mwaka 1988, yeye na Tapfuma Gutsa waliandaa warsha wa Pachipamwe, ambao ni warsha wa kwanza wa Triangle Art Trust kwa Africa.[5] Mnamo mwaka 2010 alikuwa mmoja wa wafuasi wa sanaa ya uchoraji ya Rockefeller Foundation[6] na anafanya kazi Rockefeller Foundation Bellagio Center.

Berry Bickle ni msanii mashuhuri aliyefanya kazi mbali mbali zikiwemo ufugaji, video, upigaji picha, na ufinyanzi.[7] Kazi zake kwa ujumla zilikuwa za ufugaji, nyingine zilihusisha video na upigaji picha. Bickle alishirikiana kwa karibu sana na mwanakeramik wa Zimbabwe, Marjorie Wallace.[7] Alishirikiana na msanii wa Peruvian Adrian Velasquez. Kwenye maonyesho na uchapishaji wa kazi za Inscribing Meaning: Writing and Graphic Systems in African Art[8] Zilionyesha uwepo wa maandishi ya Bickle na kazi na umuhimu wa tendo la uandishi na ukusanyaji wa maneno; kwenye sura za kazi zake watu waliweka alama na kiziita "Re-Writes".[9]

  • "Maputo Utopias" series.[10]
  • Suite Europa, 2010. The series was produced during a residency at the Rockefeller Foundation Bellagio Center.
  • Sleeping beauty, 2008
  • Cyrene
  • Inheritance lost library
  • Wandering
  • Sarungano
  • Pessoa bowls series

Maonyesho

hariri

Kazi za zilionyeshwa kimataifa. Mnamo mwaka 2011, Bickle aliiwakilisha Zimbabwe kwenye Venice Biennale, ikiwa ni nafsi adimu kwa nchi ya kiafrika wakati huo[11] Pavilion ya Zimbabwe, ambayo iliandaliwa na Raphael Chikukwa, ilipewa jina la "Seeing Ourselves."[11]

  • Zimbabwe/Tanzania: contemporary artists, Helsinki, 1993.
  • 5th Havana Biennalle, Cuba, 1994.
  • First Johannesburg Africus Biennale, 1995.
  • On the Road, Africa'95, London, England, 1995.
  • MBCA-Decade of Award Winners, National Gallery, Harare, 1996.
  • Artists against landmines, Franco/Mozambique Cultural Centre, Maputo, 1999.
  • World Video Festival, Gates Foundation, Amsterdam, 1999.
  • Artistes contemporains du Zimbabwe, Pierre Gallery, Paris, 1999.
  • Women in African Art, Vienna, 1999.
  • 2001 El tiempo de Africa, Centro Atlantico de Arte Moderno, Gran Canaria "Siyaphambili-2000," National Gallery, Harare, 2001.
  • Art dans le Monde, Paris, 2001.
  • Africas: The Artist and the City: A Journey and an Exhibition, Barcelona, Spain, 2002.
  • Afrika Remix – Zeitgenössische Kunst eines Kontinents – Museum Kunst Palast, Düsseldorf, 2004.
  • Visions of Zimbabwe – Manchester Art Gallery, Manchester (England), 2004.
  • Africa Remix, Centre Pompidou, Paris, 2005.
  • Textures – Word & Symbol in Contemporary African Art – National Museum of African Art, Washington, DC, 2005.[12]
  • Africa Remix – Contemporary Art of a Continent – Hayward Gallery, London (England), 2005.
  • Body of Evidence (Selections from the Contemporary African Art Collection) – National Museum of African Art, Washington, DC, 2006.
  • Africa Remix – Contemporary Art of a Continent – Mori Art Museum, Tokyo, 2006.
  • 7ème Biennale de l'Art Africain contemporain – Dak'Art Biennale de l'art africain contemporain, exhibition curated by N'Goné Fall in the frame of the individual exhibitions, Dakar, 2006.
  • Annual MUSART – Museu Nacional de Artes (MUSART), Maputo, 2007.
  • Exit11, Limited edition Part 1 – Exit11, Grand-Leez, 2007.
  • Africa Remix – Contemporary art of a continent – Johannesburg Art Gallery (JAG), Johannesburg, 2007.
  • L'oeil-Écran Ou La Nouvelle Image – Casino Luxembourg – Forum d'art contemporain, Luxembourg, 2007.
  • Exit11, Exhibition 02 – Collective exhibition – Exit11, Grand-Leez, 2007.
  • Videozone 4 – Videozone – International Video-Art Biennial, Tel Aviv, 2008.
  • ifa-Galerie Berlin, Berlin, 2008.[10]
  • chance encounters – Sakshi Gallery, Mumbai, 2008.
  • Animais: Caracterização e Representação – Museu Nacional de Artes (MUSART), Maputo, 2008.
  • Chance Encounters – Seven Contemporary Artists from Africa – Centre for Contemporary Art, Lagos (CCA, Lagos), Lagos, 2009.
  • Maputo: A Tale of One City – Oslo Kunstforening, Oslo, 2009.
  • Biennale di Venezia – 54th International Art Exhibition, Pavilion of Zimbabwe, exhibition Seeing Ourselves curated by Raphael Chikukwa, Venice, 2011.[11]
  • The Divine Comedy. Heaven, Purgatory and Hell Revisited by Contemporary African Artists, 2014 Museum für Moderne Kunst (MMK), Frankfurt am Main[13]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Staff (2009). "" ARTISTS " Berry Bickle". Kulungwana. Kulungwana. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-16. Iliwekwa mnamo 19 Mei 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Staff (2012). "Berry Bickle b. Zimbabwe, 1959". Textures – Word and symbol in contemporary African art. National Museum of African Art/Smithsonian Institution. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-05. Iliwekwa mnamo 19 Mei 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Magee, Carol (2000-02-21). Bickle, Berry. Oxford Art Online. Oxford University Press. doi:10.1093/gao/9781884446054.article.t096497.
  4. Simbao, Ruth; Chikukwa, Raphael; Ogonga, Jimmy; Bickle, Berry; Pereira, Marie Hélène; Altass, Dulcie Abrahams; Chikowero, Mhoze; Fall, N'Goné (Juni 2018). "Zimbabwe Mobilizes: ICAC's Shift from Coup de Grăce to Cultural Coup". African Arts (kwa Kiingereza). 51 (2): 4–17. doi:10.1162/afar_a_00399. ISSN 0001-9933.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Pachipamwe International Artists' semina hii ilikuwa inafanywa kila mwaka Zimbabwe kati ya 1988 mpaka 1994. Kutengeneza taswira ya semina .
  6. Staff (2010). "Berry Bickle". Rockefeller Foundation – ubunifu wa miaka 100 ijayo. The Rockefeller Foundation. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Mei 2012. Iliwekwa mnamo 19 Mei 2012.
  7. 7.0 7.1 Sterling, Beverley (July/August 2008). "BERRY BICKLE: LOST WORDS NATIONAL GALLERY OF ZIMBABWE, HARARE APRIL 2008". Ceramic Review. Issue 232. {{cite journal}}: |volume= has extra text (help); Check date values in: |date= (help)
  8. Inscribing Meaning: Writing and Graphic Systems in African Art, curated by Christine Mullen Kreamer, Mary Nooter Roberts, Elizabeth Harney, Allyson Purpura, Smithsonian National Museum of African Art, 2007.
  9. Berry Bickle, Re-Writes in Inscribing Meaning: Writing and Graphic Systems in African Art, curated by Chistine Mullen Kreamer, Mary Nooter Roberts, Elizabeth Harney, Allyson Purpura, Smithsonian National Museum of African Art, 2007, p. 227-229; in particular the text refers to the works Wandering, Sarungano, Pessoa bowls series.
  10. 10.0 10.1 [Melancholia from the series "Maputo Utopias", 2007 on IFA gallery website "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Aprili 2011. Iliwekwa mnamo 2011-06-15.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)].
  11. 11.0 11.1 11.2 Meldrum, Andrew. "Zimbabwean artists featured at Venice Biennale - Zimbabwean paintings, videos, sculpture and photos displayed in Venice festival.", Global Post, June 3, 2011. 
  12. WICKOUSKI, Sheila. "Ruscha-What's in a word? - Two exhibits, one at the National Gallery of Art and one at the National Museum of African Art, center around the written word.", Free Lance-Star, February 24, 2005. 
  13. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Machi 2014. Iliwekwa mnamo 2 Desemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Berry Bickle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.