Besa wa Misri (pia Wissa) alikuwa mmonaki Mkristo kati ya karne ya 5 BK.

Tangu kale abati huyo anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Desemba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. https://catholicsaints.info/saint-besa-of-egypt/
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.