Besart Berisha (alizaliwa 29 Juni 1985) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Kosovo. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Albania na timu ya taifa ya Kosovo.

Besart Berisha
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaAlbania, Kosovo Hariri
Nchi anayoitumikiaAlbania, Kosovo Hariri
Jina katika lugha mamaBesart Berisha Hariri
Jina halisiBesart Hariri
Jina la familiaBerisha Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa29 Julai 1985 Hariri
Mahali alipozaliwaPrishtina Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKialbania Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Muda wa kazi2003 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji8 Hariri
LigiBundesliga, 2. Bundesliga Hariri
Tovutihttp://www.besartberisha.com/ Hariri

Berisha ameichezea timu ya taifa ya Albania tangu mwaka wa 2006. Berisha alicheza Albania na Kosovo katika mechi 17.[1]

Takwimu hariri

[1]

Timu ya Taifa ya Albania
Mwaka Mechi Magoli
2006 1 0
2007 5 0
2008 4 0
2009 6 0
Jumla 16 0
Timu ya Taifa ya Kosovo
Mwaka Mechi Magoli
2017 1 0
Jumla 1 0

Tanbihi hariri

  1. 1.0 1.1 Besart Berisha at National-Football-Teams.com
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Besart Berisha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.