Blood on the Dance Floor (wimbo)
"Blood on the Dance Floor" ni single ya kwanza kutoka katika albamu ya Michael Jackson (remix albamu), Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix.
“Blood on the Dance Floor” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix | |||||
Imetolewa | 21 Machi,1997 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1997 | ||||
Aina | New Jack Swing, pop, dance, funk, rock | ||||
Urefu | 4:13 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson Teddy Riley | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Kuhusu wimbo
haririJackson na Teddy Riley walitengeneza wimbo huu mwaka 1991 wakati wa kutolewa kwa albamu ya Dangerous. Hata hivyo, haukuonekana katika rekodi ile na ukaja kubadilishwa kidogo kabla ya kutolewa kwake kibiashara mnamo mwaka wa 1997. Wimbo unamhusu mwanamama mwindaji mmoja aliyeitwa kwa jina la Susie, ambaye aliyemtongoza Jackson kabla ya kupanga kumchoma na kisu cha tumbo. Maudhui ya wimbo yapo katika mitabaka mbali-mbali - humu kuna rock na funk.
Chati
haririChati (1997) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australia | 5 |
Austria | 9 |
Belgium (Vl) | 11 |
Belgium (Wa) | 11 |
Finland | 2 |
France | 10 |
Germany | 5 [1] |
Italy | 10 [2] |
Netherlands | 7 [2] |
New Zealand | 1 [2] |
Norway | 2 |
Spain | 1 |
Sweden | 2 |
Switzerland | 5 |
UK | 1 |
U.S. Billboard Hot 100 | 42 |
Orodha ya nyimbo
haririUK single #1
- "Blood on the Dance Floor" – 4:12
- "Blood on the Dance Floor" (TM's Switchblade Mix) – 8:39
- "Blood on the Dance Floor" (Refugee Camp Mix) – 5:27
- "Blood on the Dance Floor" (Fire Island Vocal Mix) – 8:57
- "Blood on the Dance Floor" (Fire Island Dub) – 8:55
UK single #2
- "Blood on the Dance Floor" – 4:12
- "Blood on the Dance Floor" (TM's Switchblade Edit) – 8:39
- "Blood on the Dance Floor" (Fire Island Radio Edit) – 8:57
- "Dangerous" (Roger's Dangerous Club Mix) – 6:55
U.S. single
- "Blood on the Dance Floor" – 4:12
- "Blood on the Dance Floor" (TM's Switchblade Edit - long) – 4:11
- "Blood on the Dance Floor" (Refugee Camp Edit) – 3:19
- "Blood on the Dance Floor" (Fire Island Radio Edit) – 3:50
- "Blood on the Dance Floor" (TM's Switchblade Mix - long) – 10:00
- "Dangerous" (Roger's Dangerous Club Mix) – 6:55
EU single (EPC 664355 2)
- "Blood on the Dance Floor" – 4:14
- "Blood on the Dance Floor" (Fire Island Vocal Mix) – 8:56
- "Blood on the Dance Floor" (TM's Switchblade Mix) – 8:38
- "Dangerous" (Roger's Dangerous Club Mix) – 6:56
Tanbihi
hariri- ↑ "Blood on the Dance Floor". www.charts-surfer.de. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-02. Iliwekwa mnamo 13 Januari 2009.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 "M. Jackson - Blood on the Dance Floor (nummer)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2008.
Marejeo
hariri- George, Nelson (2004). Michael Jackson: The Ultimate Collection booklet. Sony BMG.
- Taraborrelli, J. Randy (2004). The Magic and the Madness. Terra Alta, WV: Headline. ISBN 0-330-42005-4.
Alitanguliwa na "I Believe I Can Fly" ya R Kelly |
UK Singles Chart Single Namba 1 27 Aprili 1997 – 4 Mei 1997 |
Akafuatiwa na "Love Won't Wait" ya Gary Barlow |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Blood on the Dance Floor (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |