Bogumili (alifariki Dobrowo, Polandi, 10 Juni 1192) alikuwa askofu mkuu wa Gniezno, miaka 1170-1182, lakini miaka yake ya mwisho aliishi kama mkaapweke mwenye maisha magumu [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pio XI tarehe 27 Mei 1925.

Sikukuu yake ni tarehe 10 Juni[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.