Bonde la Usangu
8°45′S 33°48′E / 8.75°S 33.80°E
Bonde la Usangu (pia: uwanja wa Usangu, ing. Usangu Flats) ni bonde la mkoa wa Mbeya nchini Tanzania. Ni sehemu ya Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki.
Usangu pia ni jina la mlima wa volkeno ambao urefu wake ni mita 2169.
Tazama pia
haririMarejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bonde la Usangu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |