Bonifasi wa Sicilibba

Bonifasi wa Sicilibba alikuwa askofu wa mji huo wa Afrika Kaskazini katika karne ya 5.

Ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario.

Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita.[1]

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Ambrasi, Domenico (1 Feb 2001). "Santi Dionisia, Dativa, Leonzia, Terzo, Emiliano, Bonifacio, Maiorico e Servo Martiri". Santi e beati. Iliwekwa mnamo February 18, 2009.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. https://catholicsaints.info/saint-boniface-the-martyr/

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.