Bremerhaven ni mji wa jimbo la Bremen nchini Ujerumani.

Bremerhaven mnamo Julai 2013

Iko mdomoni mwa mto Weser kwenye mwambao wa Bahari ya Kaskazini, na ni bandari muhimu ya Ujerumani.

Wakazi wake ni 113,634 (mwishoni mwa 2018).

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bremerhaven kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.