Mto Weser

Mto Weser unapatikana Ujerumani Kaskazini Magharibi wenye urefu wa km. 744 ukihesabiwa pamoja na matawimto yake.

Ramani ikionyesha Mto Weser na matawimto yake kwa rangi ya buluu, mingine kwa rangi ya kijivu.
Mdomo wa mto Weser katikati ya ramani ya dunia.

Unapitia Bremen na km. 50 baadaye unaingia katika Bahari ya Kaskazini.

Flag Germany template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Weser kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.