Bugandika
(Elekezwa kutoka Bugika)
Bugandika ni kata ya Wilaya ya Missenyi katika Mkoa wa Kagera, Tanzania, yenye postikodi namba 35306.
Kata ya Bugandika | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kagera |
Wilaya | Misenyi |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 9,088 |
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 9,088 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,475 waishio humo. [2] Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,444 waishio humo.[3]
Bugandika kuna chuo cha ufundi stadi ambacho kinaendeshwa na shirika la Partage Tanzania ambalo hasa uwasaidia watoto waliofiwa na wazazi wao.
Marejeo
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz, uk 177
- ↑ "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17.
- ↑ Sensa ya 2012, Kagera - Missenyi District Council
Kata za Wilaya ya Missenyi - Mkoa wa Kagera - Tanzania | ||
---|---|---|
Bugandika | Bugorora | Buyango | Bwanjai | Gera | Ishozi | Ishunju | Kakunyu | Kanyigo | Kashenye | Kassambya | Kilimilile | Kitobo | Kyaka | Mabale | Minziro | Mushasha | Mutukula | Nsunga | Ruzinga |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bugandika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |