Machansela wa Ujerumani
(Elekezwa kutoka Bundeskanzler)
Chansela wa Ujerumani (kwa Kijerumani: Bundeskanzler, katika fasihi: chansela wa shirikisho) ni kiongozi wa serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani. Chansela wa Ujerumani huchaguliwa na jopu la wabunge wa shirikisho hilo la Ujerumani (Bundestag).
Chansela wa sasa wa Ujerumani ni Olaf Scholz wa chama cha (SPD).
Bundeskanzler (tangu 1949) hariri
Orodha ya Machansela tangu 1949 hariri
- Konrad Adenauer (CDU), 1949-1963
- Ludwig Erhard (CDU), 1963-1966
- Kurt Georg Kiesinger[1] (CDU), 1966-1969
- Willy Brandt[1] (SPD), 1969-1974
- Helmut Schmidt (SPD), 1974-1982
- Helmut Kohl (CDU), 1982-1998
- Gerhard Schröder[1] (SPD), 1998-2005
- Angela Merkel (CDU), 2005-2021
- Olaf Scholz (SPD), 2021-
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ 1.0 1.1 1.2 Pia aliwahi kuwa Rais wa Bundesrat wa Ujerumani