Caracalla (4 Aprili 1868 Aprili 217) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia mwaka wa 209 hadi kifo chake.

Sanamu la Caracalla

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Septimius Bassanius, na baadaye aliitwa Marcus Aurelius Severus Antoninus Augustus. Alimfuata baba yake, Septimius Severus ambaye alitawala pamoja naye hadi kifo cha baba tarehe 4 Februari 211.

Halafu Caracalla alitawala pamoja na kaka yake, Geta ambaye alimuua mwezi wa Desemba 211.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Caracalla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.