Castor Paul Msemwa

Castor Paul Msemwa (13 Februari 1955 - 19 Oktoba 2017) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 2005. Tangu mwaka huo alikuwa askofu msaidizi wa Jimbo la Tunduru-Masasi hadi alipofanywa askofu wa jimbo hilo.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.