Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi
Jimbo katoliki la Tunduru-Masasi (kwa Kilatini "Dioecesis Tunduruensis-Masasiensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.
Askofu wake alikuwa Castor Paul Msemwa.
Historia
hariri- 1986: Kuanzishwa kwa jimbo ya Tunduru-Masasi kutokana na jimbo ya Nachingwea
Uongozi
hariri- Maaskofu wa Tunduru-Masasi
- Castor Paul Msemwa (2005 - 2017)
- Magnus Mwalunyungu (1992 – 2005)
- Polycarp Pengo (1986 – 1990)
Takwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 22,730, ambapo kati ya wakazi 725,000 (2006) Wakatoliki ni 101,114 (13.9%).
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |