Chadrac Akolo

Mchezaji mpira wa Kidemokrasia ya Kongo

Chadrac Akolo (alizaliwa 1 Aprili 1995) ni mchezaji wa klabu ya VfB Stuttgart mbaye anacheza kama kiungo na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Chadrac Akolo
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa1 Aprili 1995 Hariri
Mahali alipozaliwaKinshasa Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuKiungo Hariri
Muda wa kazi2014 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoFC Sion, Neuchâtel Xamax, VfB Stuttgart, DR Congo national football team Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji13 Hariri
Ameshiriki2019 Africa Cup of Nations Hariri
LigiBundesliga Hariri

kazi ya klabu hariri

Mnamo 1 Februari 2016, Akolo aliyezaliwa Kinshasa alijiunga na klabu ya Neuchâtel Xamax kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu wa 2015-16. Mnamo tarehe 9 Julai 2017, Akolo alisaini mkataba wa miaka minne(4) na VfB Stuttgart.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chadrac Akolo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.