Chappal Waddi (au Gangirwal) ni mlima mrefu kuliko yote ya Nigeria (Afrika).

Mlima Chappal Waddi
Mlima Chappal Waddi

Urefu wake unafikia hadi mita 2,419 juu ya usawa wa bahari.

Mlima unapatikana kwenye katika Jimbo la Taraba, karibu na mpaka na Kamerun, katika Hifadhi ya Msitu ya Gashaka Gumti na Hifadhi ya Kitaifa ya Gashaka-Gumti kwenye Bonde la Mambilla.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chappal Waddi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.