Cheng Zhi
Cheng Zhi ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.
Cheng Zhi | |
---|---|
muhusika wa 24 | |
Tzi Ma kama Cheng Zhi | |
Imechezwa na | Tzi Ma |
Mionekano | 4, 5, 6 |
Maelezo |
Uhusika unachezwa na Tzi Ma. Huyu ni mtu kutoka Jamhuri ya Watu wa China na ndiye adui mkubwa kabisa wa Jack Bauer. Mwishoni mwa Msimu wa 6 Bauer amemjuruhi vibaya Cheng wakati wa uvamizi na kisha wakamteka nyara.