Christian Eriksen
Christian Eriksen (alizaliwa tarehe 14 Februari mwaka 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Denmark ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Tottenham Hotspur na timu ya Taifa ya Denmark.
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Denmark |
Nchi anayoitumikia | Denmark |
Jina katika lugha mama | Christian Eriksen |
Jina la kuzaliwa | Christian Dannemann Eriksen |
Jina halisi | Christian |
Jina la familia | Eriksen |
Tarehe ya kuzaliwa | 14 Februari 1992 |
Mahali alipozaliwa | Middelfart |
Ndugu | Louise Eriksen |
Lugha ya asili | Kidenmark |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kidenmark |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | attacking midfielder |
Muda wa kazi | 2010 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Manchester United F.C. |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 14 |
Ameshiriki | Kombe la Dunia la FIFA 2010, UEFA Euro 2012, Kombe la Dunia la FIFA 2018, UEFA Euro 2020 |
Ligi | Eredivisie, Ligi Kuu Uingereza, Seria A |
Alicheza timu yake ya Taifa ya Denmark mwaka 2010, na alikuwa mchezaji mdogo kabisa wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 nchini Afrika Kusini.
Mwaka 2011 Eriksen aliitwa Mchezaji wa Soka wa Denmark wa Mwaka, Talent ya Uholanzi ya Mwaka, Ajax Talent ya mwaka (Tuzo la Marco van Basten), na alifanya timu ya UEFA Euro chini ya miaka 21 .
Pia alishinda Eredivisie na Ajax mwaka 2010-11, 2011-12 na mwaka 2012-13 kabla ya kuondoka kwa Tottenham mwezi Agosti 2013 kwa ada ya taarifa ya karibu £ 11.5 milioni.
Alishinda tuzo ya Tottenham Hotspur ya mwaka kwa msimu wa 2013-14 na,pia ni miongoni mwa wachezaji waliochaguliwa katika kuwakilisha nchi katika Kombe la Dunia la FIFA 2018.
Heshima
haririAjax
Tottenham Hotspur
- Football League Cup runner-up: 2014–15
Binafsi
- Ajax Talent of the Future: 2010
- Ajax Talent of the Year: 2011
- Danish U-17 Talent of the Year: 2008
- Danish Talent of the Year: 2010, 2011[3]
- Johan Cruijff Award: 2011
- Dutch Footballer of the Year Bronze Boot: 2012
- Danish Football Player of the Year: 2013, 2014, 2015, 2017[4]
- Danish Football Player of the Year by TV2 and DFA: 2011, 2013, 2014, 2017
- PFA Team of the Year: 2017–18 Premier League
- Tottenham Hotspur Player of the Year: 2013–14, 2016–17
- Premier League Goal of the Month: April 2018[5]
Rekodi
- Mchezaji wa kwanza kushinda kwa mara tatu mfululizo tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Denmark.
- Mchezaji wa Denmark aliyefunga mabao mengi katika Ligi Kuu ya Uingereza.
Marejeo
hariri- ↑ "Trophies". AFC Ajax. 20 Januari 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Netherlands – List of Super Cup Finals". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 20 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Tottenham Hotspur Star Christian Eriksen Wins Danish Player of the Year Award". Inside Futbol. 10 Januari 2015. Iliwekwa mnamo 20 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Christian takes top Danish honour for second-successive year". Tottenham Hotspur F.C. 11 Januari 2015. Iliwekwa mnamo 20 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Eriksen strike wins Carling Goal of the Month", Premier League, 9 May 2018. Retrieved on 9 May 2018. (en)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christian Eriksen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |