Christy Ohiaeriaku

Mchezaji wa soka wa Nigeria

Christy Ohiaeriaku (alizaliwa 13 Desemba 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya Osun na timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Mnamo mwaka 2016 hadi sasa anacheza katika klabu ya IFK Ostersund nchini Sweden.[1].[2]

Christy Ohiaeriaku
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaNigeria Hariri
Jina halisiChristy Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa13 Desemba 1996 Hariri
Lugha ya asiliKiigbo Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Kiigbo, Nigerian Pidgin Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timugoalkeeper Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoRivers Angels F.C. Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri

Marejeo hariri

  1. "Osun Babes coach Liadi Bashiru hails Edwin Okon on Christy Oheriaku call-up". Savid News. 13 September 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-31. Iliwekwa mnamo 4 November 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Super Falcons Goalkeeper, Ohiaeriaku Rejoins Osun Babes On A-Year Deal", Sahara Reporters Sport, 4 February 2016. Retrieved on 4 November 2016. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christy Ohiaeriaku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.