Clément Lenglet
Mchezaji mpira wa Ufaransa
Clement Lenglet (matamshi ya Kifaransa: [klemɑ lɑɡlɛ]; alizaliwa 17 Juni 1995) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa kati katika klabu ya Hispania FC Barcelona.
Clément Lenglet
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufaransa |
Nchi anayoitumikia | Ufaransa |
Jina katika lugha mama | Clément Lenglet |
Jina la kuzaliwa | Clément Nicolas Laurent Lenglet |
Jina halisi | Clément |
Jina la familia | Lenglet |
Tarehe ya kuzaliwa | 17 Juni 1995 |
Mahali alipozaliwa | Beauvais |
Lugha ya asili | Kifaransa |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kifaransa |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | centre-back |
Muda wa kazi | 2013 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Atlético Madrid |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 15 |
Alianza kazi yake na klabu ya Nancy huko Ufaransa, akiwa amefanya maonyesho 85 tangu mwanzo wake mwaka 2013, na kushinda taji la Ligue 2 katika msimu wa 2015-16.
Mnamo Januari 2017, alijiunga na Sevilla kwa ada ya euro milioni 5.4 ambapo aliendelea kufanya maonyesho, akifunga mabao 13, kwa muda wa miezi 18 kabla ya kujiunga na Barcelona kwa ada ya € milioni 35.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Clément Lenglet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |