Claudio Andrés Bravo (alizaliwa 13 Aprili 1983) ni mchezaji wa soka wa Chile ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City na timu ya taifa ya Chile.

Claudio Bravo
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaChile, Hispania Hariri
Nchi anayoitumikiaChile Hariri
Jina katika lugha mamaClaudio Bravo Hariri
Jina la kuzaliwaClaudio Andrés Bravo Muñoz Hariri
Jina halisiClaudio Hariri
Jina la familiaBravo Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa13 Aprili 1983 Hariri
Mahali alipozaliwaLoncoche Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKihispania Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timugoalkeeper Hariri
AlisomaLiceo Polivalente Juan Gómez Millas‎ Hariri
Muda wa kazi10 Aprili 2003 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji1 Hariri
Ameshiriki2014 FIFA World Cup, Kombe la Dunia la FIFA 2010 Hariri
LigiLaLiga Hariri
Tuzo iliyopokelewaChilean Sportsman of the Year Hariri
Claudio Bravo.

Alianza kazi yake na Colo-Colo na alihamia Real Sociedad mwaka 2006, alionekana katika michezo 237 na klabu hiyo, Barcelona ilimsajili Bravo kwa milioni 12 mwaka 2014 alichezea Barcelona kwa miaka miwili. Katika majira ya baridi ya 2016, alihamia Manchester City.

Bravo ni mchezaji wa pili wa Chile kwa kofia za mchezaji bora wa chile muda wote baada ya Alexis Sanchez, ana maonyesho zaidi ya 115 tangu mwanzo wake mwaka 2004.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claudio Bravo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.