Mbuni (mmea)

(Elekezwa kutoka Coffea)
Mbuni
(Coffea spp.)
Mbuni
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Gentianales
Familia: Rubiaceae (Mimea iliyo mnasaba na mbuni)
Jenasi: Coffea
L.
Spishi: C. arabica L.

C. benghalensis
C. canephora Pierre ex. Froehn.
C. charrieriana Stoff.
C. congensis Froehn.
C. excelsa L.
C. liberica Hiern
C. stenophylla G. Don

Mibuni (Coffea spp.) ni miti au vichaka ambayo matunda yao (buni) huchomwa na kusagwa ili kutengeneza kahawa.

Spishi zinazokuzwa sana ni Mbuni Arabu (Coffea arabica) na Mbuni imara (Coffea canephora). Asili ya spishi ya kwanza ni milima ya Ethiopia na Yemen na asili ya ile ya pili ni Ethiopia.

Inaaminika kuwa asili ya kuchoma buni ni nchini Ethiopia.[1]

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbuni (mmea) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.