Krioli
(Elekezwa kutoka Creole language)
Krioli (kwa Kiingereza: creole language) ni jina la kutaja lugha yoyote[1][2][3] iliyokua kutokana na lugha mbili au zaidi kukutana na kuingiliana. Hivyo inatokana na matumizi ya pijini kwa muda mrefu, yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini kwanza.
Kuna lugha za Krioli nyingi duniani. Lugha hizo huwa na miundo changamano. Pia zina msamiati mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.
Idadi ya lugha za aina hiyo ni walau 100, na nyingi kati yake zimetokana na lugha za Ulaya.
Krioli kubwa zaidi ni ile ya Haiti, yenye wasemaji zaidi ya milioni 10[4].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ The study of pidgin and creole languages
- ↑ "Language varieties: Pidgins and creoles" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-07-12. Iliwekwa mnamo 2019-10-05.
- ↑ Typologizing grammatical complexities, or Why creoles may be paradigmatically simple but syntagmatically average
- ↑ Valdman, Albert. "Creole: The national language of Haiti". www.indiana.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-26. Iliwekwa mnamo Oktoba 9, 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- International Magazine Kreol
- Association of Portuguese and Spanish Lexically-based Creoles
- Language Varieties
- Creole definition Archived 24 Septemba 2019 at the Wayback Machine. at the Online Dictionary of Language Terminology (ODLT)
- Louisiana Creole Dictionary Archived 29 Septemba 2019 at the Wayback Machine.
- Society for Pidgin & Creole Linguistics Archived 11 Oktoba 2020 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Krioli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |