Daniel Nathaniel (alizaliwa 14 Julai 1992) ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa wanaume nchini Nigeria ambaye anacheza katika timu ya Sunshine Spikers ya Akure,Nigeria na timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya wanaume Nigeria.[1][2]

Daniel Nathaniel
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 14 Julai 1992
Mahala pa kuzaliwa    Nigeria
Nafasi anayochezea Seti
Timu ya taifa
Nigeria Men's national volleyball team

* Magoli alioshinda

Maisha hariri

Ni mhitimu wa uhandisi wa umeme na Elektroniki ambaye anacheza kama seti katika timu ya mpira wa kikapu ya Sunshine Spikers, Akure, katika jimbo la Ondo. Daniel pia anacheza katika timu ya wanaume ya mpira wa kikapu Nigeria.[3]

Mafanikio katika mpira wa kikapu hariri

Yeye ni nahodha katika timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya wanaume Nigeria.[4] Daniel Nathaniel alikuwa miongoni mwa wachezaji wa timu ambayo ilishinda Ligi ya National Division One Volleyball huko Bauchi mnamo 2019.[5]

Pia alikuwa sehemu ya timu iliyoshinda Kombe la Regional Unity Invitational Challenge Cup 2022 huko Jimbo la Kwara na kuwashinda timu ya New Waves ya Jimbo la Ogun katika mashindano hayo.[6] Moja ya mafanikio yake makubwa ilikuwa kuongoza timu ya mpira wa kikapu ya wanaume Nigeria kwenye michezo ya Afrika ya 2019 huko Moroko.[7]

Marejeo hariri

  1. "Daniel Nathaniel » indoor tournaments :". Volleybox (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-02. 
  2. "Abdallah Names 12-man Squad For 2021 African Nations Volleyball Championship". Best Choice Sports (kwa en-GB). 2021-09-03. Iliwekwa mnamo 2023-03-02. 
  3. Kuti, Dare (2020-05-31). "Leading Nigeria to the 2019 AG was an honour - Daniel Nathaniel". ACLSports (kwa en-GB). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-02. Iliwekwa mnamo 2023-03-02.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Saliu, Mohammed (2019-05-17). "Nigeria’s men’s volleyball team set for AAG qualifier in Abidjan". Latest Sports News In Nigeria (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-03-02. 
  5. "Sunshine Spikers, Super Force win Division One Volleyball League". The Guardian Nigeria News - Nigeria and World News (kwa en-US). 2019-10-28. Iliwekwa mnamo 2023-03-02. 
  6. Kuti, Dare (2022-01-15). "Sunshine Spikers, Plateau Rocks win Regional Unity Cup". ACLSports (kwa en-GB). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-02. Iliwekwa mnamo 2023-03-02.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  7. Moseph, Queen (2019-05-22). "Zone 3 Volleyball: Nigeria qualify for 2019 All Africa Games". ACLSports (kwa en-GB). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-02. Iliwekwa mnamo 2023-03-02.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Nathaniel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.