Daniele De Rossi (matamshi ya Kiitalia: [danjɛːle de rossi]; alizaliwa 24 Julai 1983) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama kiungo wa kuzuia mashambulizi wa AS Roma na zamani wa timu ya taifa ya Italia.

Daniele De Rossi

De Rossi alirithi unahodha wa Roma mwanzoni mwa msimu wa 2017-18 baada ya kustaafu kwa Francesco Totti.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniele De Rossi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.