Danyelle Sargent
Danyelle Sargent-Musselman (alizaliwa Mei 7 1978) alikuwa mtangazaji wa televisheni wa habari za michezo wa nchini Marekani .
Danyelle Sargent-Musselman | |
Amezaliwa | mei 7 1978 Marekani |
---|---|
Nchi | Marekani |
Kazi yake | Mtangazaji wa televisheni |
Elimu na Kazi
haririSargent alihitimu Chuo Kikuu cha Florida na kuanza kazi kama mtangazaji wa televisheni kwenye kituo cha WGXA, huko Macon, Georgia. Kabla ya kujiunga na ESPN, alifanya kazi kama mtangazaji wa habari za michezo katika chaneli ya michezo kuanzia mwaka 2002 hadi 2004 huko Kansas City, Missouri. Alikuwa mwandishi wa pembeni wa Wakuu wa Jiji la Kansas wakati wa kipindi cha mwaka 2004. Aliwahi kuwa mtangazaji mkuu mwaka 2005 na 2006 wa Chama cha Kimataifa cha Wanariadha(NCAA).
Maisha binafsi
haririSargent aliolewa na kocha mkuu wa mpira wa kikapu wa Arkansas Razorbacks, Eric Musselman. Katika ndoa yao walipata mtoto wa kike mnamo mwaka 2010. Sargent pia ana watoto wawili wa nje ya ndoa.
Viungo Vya nje
hariri- Brief article from the San Jose Mercury News about the Bill Walsh incident.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Danyelle Sargent kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |