Shariff Thabit Ramadhan (maarufu zaidi kama Darassa[1]; amezaliwa tarehe 3 Septemba mwaka 1988) ni rapa kutoka Singida Tanzania, aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake Muziki alioutoa mwaka 2016 akishirikiana na Ben Pol.[2]

Darassa
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaShariff Thabit Ramadhan
Amezaliwa(1988-09-03)Septemba 3, 1988 (age 36)
Kazi yake

Drasa alianza kutambulika rasmi kwenye tasnia ya muziki mwaka 2014 alipotoa wimbo Sikati Tamaa. Kisha akachukua mapumziko, alirejea tena mwaka 2016 na wimbo "Utanipenda" akimshirikisha Rich Mavoko pia alitoa wimbo akimshirikisha Ben Pol, wimbo ambao ulichezwa zaidi Afrika Mashariki.[3] Kwa mara nyingine Darassa alichukua mapumziko kabla ya kuibuka tena mwaka 2018 lakini pia darassa ameendelea kuwa msanii bora Tanzania na Africa kiujumla.[4]

Diskografia

hariri

Albamu

  • 2020: Slave becomes a King

Nyimbo

  • Proud of you ft Ali Kiba
  • I like it[10] ft Sho Madjozi
  • Waiter ft Mr Burudani
  • Umeniroga ft Kassim Mganga
  • Nimetumwa Pesa
  • Loyalty ft Nandy & Marioo
  • Size yao ft Dogo Janja
  • Usiniletee shida ft Femi One
  • Blessings ft Abbah & Mr. T Touch
  • Hands Up ft Maua Sama
  • Lock me down ft Jaiva
  • My life ft Chibwa & Marisa
  • Utanitoa roho
  • Segedance ft Rich Mavoko
  • Shemeji ft Barakah The Prince
  • Hasso
  • Nikiondoka
  • Hater
  • Nana ft G Boy
  • Boss it ft Ben Pol
  • Darassa ft Marioo & Nand loyalty
  • Darassa & Harmonize mazoea
  • Darassa my time
  • Darassa ft shedy

Mafanikio

hariri
  • Darassa alishinda TMA mwaka 2021 katika kipengele cha Wimbo Bora wa Kushirikiana kupitia wimbo wake, Loyalty ambao amewashirikisha Marioo na Nandy.
  • Darassa ameibuka kidedea kwenye kipengele cha ‘East African Super Hit’ na wimbo wake wa Muziki ambao amemshirikisha Ben Pol.

Marejeo

hariri
  1. "PHOTOS: Tanzanian rapper Darassa living the good life". The Standard Entertainment (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-02-07.
  2. "Tanzania Rapper Darassa Claims He Made No Money With Hit Song 'Muziki' Despite over 20M Youtube Views". Zanko News (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-03-02. Iliwekwa mnamo 2022-03-02.
  3. "Darassa makes shocking revelation over hit song 'Muziki'". Nairobi Review (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-03-02. Iliwekwa mnamo 2022-03-02.
  4. "Why Darassa took a break after 'Muziki'". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-03.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Darassa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.