Deodato wa Blois
Deodato wa Blois (Bourges, Ufaransa, karne ya 5 – Blois, Ufaransa, karne ya 6) alikuwa shemasi aliyeishi kama mkaapweke ila hatimaye alianzisha monasteri kwa waliotamani kumfuata[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |