Depok
6°23′38″S 106°49′21″E / 6.3940°S 106.8225°E
Depok Kiindonesia: Kota Petir English: City of Lightning |
|||
| |||
Majiranukta: 6°23′38.4″S 106°49′21″E / 6.394000°S 106.82250°E | |||
Kaulimbiu: Kisunda: Paricara Dharma | |||
Madola | Indonesia | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Java | ||
Jimbo | Java Magharibi | ||
Serikali | |||
- Meya | Idris Abdul Somad | ||
- Meya wa Makamu | Imam Budi Hartono | ||
Eneo | |||
- Jumla | 200.29 km² | ||
Mwinuko | 50−140 m (164−459 ft) | ||
Idadi ya wakazi (2021) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 2.462.215 | ||
IWST | (UTC+7) | ||
Msimbo wa posta | 164xx-165xx | ||
Kodi ya simu | (+62) 21/251 | ||
Tovuti: depok.go.id |
Depok (kwa Kiindonesia: Kota Depok, yaani "Mji Depok") ni mji wa mkoa wa Java Magharibi nchini Indonesia.
Ukubwa wa eneo lake ni km² 200.29. Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa 2,462,215 (mwaka wa 2021). [onesha uthibitisho]