Deshat ni mlima wa Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Albania na Jamhuri ya Masedonia Kaskazini.

Mlima Deshat

Urefu wake ni mita 2,375 juu ya usawa wa bahari.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Deshat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.